Posts

Wahubiri wanaopata utajiri kutoka kwa watu masikini

Image
Wahubiri wanaopata utajiri kutoka kwa Wamarekani masikini Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha JOSEPH DE SCIOSE Image caption Larry na Darcy Fardette walitoa pesa nyingi kwa wahubiri mbali mbali Mhu b iri anaye fikisha ujumbe wake  kwa njia ya  Telev isheni  Todd Coontz  amekuwa na mtindo wa kuvaa mavazi ya kupendeza :  huvalia  suti ,  na kutoa Biblia yake huku akiwataka watazamaji wake kutoa ahadi za kiasi fulani  cha  pesa. " Usichelewe, usichelewe,"  huwaagiza watazamaji wake akiwa mtulivu lakini kwa kauli ya kuwalazimisha. Husikika kama jambo rahisi, , lakini Coontz anawafahamu vizuri watazamaji wake. Hutoa mahubiri yake katika Televisheni ya Kikristo, mara nyingi wakati wa usiku, na kuwavutia watazamaji wanaokabiliwa na matatizo ya kifedha na ambao wanataka mabadiliko. "...

KABILA AMBALO HUWAPA WAGENI MSICHANA WA KULALA NAE

Image
KABILA AMBALO WANAWAKE HUWAPA PENZI WAGENI KAMA ISHARA YA HESHIMA Kabila la OVAHIMBA ambalo linapatikana kaskazini mwa Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati, bado wana utamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa hiyo ndiyo heshima anayostahili mgeni. Kwa mujibu wa mila zao, mgeni anapowasili kwa siku ya kwanza kama ilivyo kawaida huandaliwa chumba na kisha hupewa mwanamke/binti ambaye hajaolewa kwenye familia kulala na mgeni  kitanda kimoja kwa siku ya kwanza. Na kama kwenye familia aliyofikia mgeni hakuna mwanamke ambaye hajaolewa basi wanaume wa familia hiyo hupiga kura ili mmoja wao kumuachia mgeni chumba chake alale na mkewe. Iwapo mwanaume huyo nyumba yake itakuwa na chumba kimoja na sebule basi atamuachia mkewe alale na mgeni chumbani kwake. Kwa maelezo ya makala iliyochapishwa na mtandao wa Shirika la Habari la AP, imeelezwa kuwa wanawake huwa hawana njia ya kukataa maamuzi hivyo moja kwa moja hutii maamuzi ya ...

Mwanamke mmoja ajipasua tumbo kumtoa mtoto

Image
Mwanamke mjamzito ajifanyia upasuaji na kutoa mtoto Tanzania Sambaza habari hii   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Mwanamke mmoja anadaiwa kujipasua tumbo kwa kitu chenye ncha kali na kumtoa mtoto, wilayani Nkasi mkoani Rukwa Kusini Magharibi mwa Tanzania. Tukio hilo limevuta hisia za wengi na wengine wakiwa katika taharuki wengi wakifika katika kituo cha afya kushuhudia ukweli wa tukio hilo linalodaiwa kutekelezwa na bi Joyce Kalinda. Wakati taarifa za awali zikisema kuwa mwanamke huyo alijipasua umbo, Mganga mkuu wa wiaya ya Nkasi Dokta Hashi Mvogogo alizungumza na gazeti la Habari Leo alisema bado uchunguzi unafanyika ili kujua ukweli wa kilichotokea kwa mama huyo. Uchunguzi unafanyika kubaini kama alijifanyia upasuaj mwenyewe kutoa mtoto au kuna mtu mwingine alifanya hivyo. Daktari huyo amesema saa tisa alfajiri ya kuamkia siku ya Alhamisi, mwanam...

AFYA

Image
MAGONJWA MAPYA YA ZINAA AMBAYO NI TISHIO; 1: NEISSERIA MENINGITIDES Neisseria meningitidis pia hufahamika kama meningococcus, husababisha uvimbe hatari wa tando za uti wa mgongo na ubongo. Bakteria huyu amekuwa akipata umaarufu zaidi kwa kusababisha maambukizi kwenye maungo ya uzazi. 2: SHIGELLA FLEXNERI higella flexneri husababisha maumivu makali ya tumbo na kuhara damu ambapo hustawisha kusambaa kwa bakteria hao. Shigellosis husababishwa kwa kugusa moja kwa moja au kwa njia moja au nyengine kinyesi cha binadamu. 3: LYMPHOGRANULOMA VENEREUM (LGV) LGV, mwanzo hutokea kama kipele au lengelenge kisha kushambulia mfumo wa kinga ya mwili na hivyo kusababisha uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Ugonjwa huu pia husababisha maambukizi katika njia ya haja kubwa na pia kusababisha maumivu makali ya tumbo. 4: MYCOPLASMA GENITALIUM Mycoplasma genitalium ni hatari sana kwa mfumo wa uzazi kwa wanawake. Maambukizi ya Mycoplasma genitalium ambayo kwa kawaida hayana d...

TEKNOLOJIA

Image
TEKNOLOJIA: Mkurugenzi wa Taasisi ya Twaweza ashiriki mkutano wa Kimataifa kwa njia ya video > Aidan Eyakuze akiwa nchini Tanzania aliweza kushiriki na kutoa maoni yake katika mkutano wa Uendeshwaji wa Serikali kwa Uwazi uliofanyika nchini Canada > Eyakuze hakuweza kusafiri kuhudhuria mkutano huo kutokana na hati yake ya kusafiria kushikiliwa na Idara ya Uhamiaji #MYD Technology