Posts

Showing posts from June 9, 2019

MAREKANI YAIPA URUSI ONYO

Image
Marekani yaipatia Uturuki onyo la mwisho la ununuzi wa silaha za UrusiSaa 3 zilizopita Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha PA Image caption Uturuki imepewa ilani ya kuchagua kati ya kununua ndege za kivita za Marekani au makombora ya Urusi Uturuki imepewa makataa ya hadi mwisho wa mwezi Julai kuchagua kati ya kununua ndege za kivita za Marekani na makombora ya Urusi. Kaimu waziri wa ulinzi wa Marekani Patrick Shanahan ametoa makataa hayo katika waraka aliyomwandikia mwenzake wa Uturuki, Hulusi Akar. Amesema Uturuki, haiwezi kumiliki ndege ya kisasa ya kivita chapa F-35 kutoka Marekani na makombora S-400 kutoka Urusi. Mgogoro wa Sudan: Kamata kamata dhidi ya upinzani 'zimechacha' Je, hili ndilo tunda 'baya' na ghali zaidi duniani? Rais wa Uturuki awa mpambe katika harusi ya Ozil Washirika hao wawili wa muungano wa kujihami kwa mataifa ya