Posts

Showing posts from June 13, 2019

AMPA MTOTO WAKE WA KAMBO CHAKULA ALICHOKICHANGANYA NA HEDHI

Image
Mshtuko !! Pichani mdada huyo Kwa jina la Annet Namata nchini Uganda amempa mtoto binti yake wa kambo chakula alichokichanganya na damu yake ya hedhi. Baada ya kula chakula hicho ambacho damu ya mdada huyo ilichanganywa na mchuzi wa mabiringanya mtoto huyo alianza kutapika mfululizo ambapo Annet alikuwa ameshatoka kwenda Kwenye mishe zake Bahati majirani walimuona mtoto huyo akitapika mfululizo walipomfuata kumuuliza akawaonesha sahani ya chakula ambapo waliona vitu vya aj abu ndipo wakamtaarifu mume wa Annet anayeitwa Unusu Lungu. Baada ya kuja kujionea mume huyo alipatwa na hasira kali akamfuata mkewe huyo alipo kisha kuanza kukwaruzana Awali, Annet Alijitetea kuwa mtoto huyo wa kike umri wa Shule ya msingi alichukuwa mwenyewe damu hiyo ya hedhi Kwenye ndoo akachanganya na chakula ale. Alieleza hayo baada ya yeye kulazimishwa ale chakula hicho ndipo akasema kina damu ya hedhi yeye hawezi kula Alipobanwa zaidi Na mumewe Na mmoja wa viongozi wa kike wa eneo Hilo amekiri kumuw

AAMUA KUJIOA MWENYEWE

Image
BINTI MMOJA ALIVYOWASHANGAZA WENGI BAADA YA KUAMUA KUJIOA Binti mmoja wa nchini Kenya amewashangaza wengi baada ya kuamua kujioa kupitia harusi iliyofana sana. Amini usiamini, Georgina Wambui, alifanya harusi ya kukata na shoka ambapo alijioa mwenyewe na kuiacha familia yake vinywa wazi. Dada huyo mwenye umri wa miaka 33 aliliambia jarida la TUKO kwamba alikuwa na mpenzi siku za nyuma lakini penzi lao likasambaratika na akaanza kuishi bila ya mwanaume. Mambo yalizidi kuharibika 2014 baada ya kuhusika katika ajali iliyomwacha na majeraha mabaya ambayo hadi leo yamemfanya kuwa mlemavu. "Baada ya ajali, niliwapoteza marafiki wengi ambao walikuwa karibu na mimi. Jambo hilo lilinibadilisha sana na kunipa nguvu. Niligundua si marafiki wote wa kudumu," alisema katika mahojiano na jarida hilo. Mnamo Juni 1, 2018 familia yake ilishangaa sana wakati aliposherekea siku ya kuzaliwa kwake kwa kujinunulia pete na kuwaeleza marafiki kuhusu mapango wa kutaka kujioa mwaka ulio
Image
Afcon 2019: Wachezaji nyota wa timu za Afrika mashariki Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza hab Mataifa manne ya Afrika mashariki yamefuzu kwa kombe la mataifa ya bara Africa Afcon yatakayoanza ramsi nchini Misri namo tarehe 22 mwezi Juni . Uganda iliibuka kidedea katika kundi lake huku Kenya, Tanzania na Burundi zikifuzu katika nafasi ya pili baada ya shirikisho la soka barani Afrika kuongeza timu kutoka 16 hadi 24 mwaka huu. Mara ya mwisho ya eneo la afrika mashariki kuwakilishwa katika michuano hiyo ni 2004 wakati kenya na Rwanda walishiriki katika michuano ya Tunisia. Wote waliondolewa katika droo ya kimakundi. Hii ni mara ya kwanza kwamba mataifa manne ya Afrika mashariki yanashiriki katika kombe la Afcon kwa pamoja. Na hivyobasi shirika lako la habari la BBC limeamua kukuangazia kuhusu wachezaji nyota wa timu hizo za Afrika mashariki Mbwana Samatta [ Nahodha Taifa Stars Tanzania} Mbwan

KILIMO

Image
Waziri wa Kazi wa Lesotho, Keketso Rantso akikagua shamba moja la kilimo cha bangii Gunia moja la mahindi huuzwa Tsh.50,000 wakati gunia la bangi hufika mpaka Milioni 20 . Ameongezea zao hilo halihitaji mbolea au umwagiliaji 😂 😂