AFYA

MAGONJWA MAPYA YA ZINAA AMBAYO NI TISHIO;
1: NEISSERIA MENINGITIDES
Neisseria meningitidis pia hufahamika kama meningococcus, husababisha uvimbe hatari wa tando za uti wa mgongo na ubongo. Bakteria huyu amekuwa akipata umaarufu zaidi kwa kusababisha maambukizi kwenye maungo ya uzazi.
2: SHIGELLA FLEXNERI
higella flexneri husababisha maumivu makali ya tumbo na kuhara damu ambapo hustawisha kusambaa kwa bakteria hao. Shigellosis husababishwa kwa kugusa moja kwa moja au kwa njia moja au nyengine kinyesi cha binadamu.
3: LYMPHOGRANULOMA VENEREUM (LGV)
LGV, mwanzo hutokea kama kipele au lengelenge kisha kushambulia mfumo wa kinga ya mwili na hivyo kusababisha uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Ugonjwa huu pia husababisha maambukizi katika njia ya haja kubwa na pia kusababisha maumivu makali ya tumbo.
4: MYCOPLASMA GENITALIUM
Mycoplasma genitalium ni hatari sana kwa mfumo wa uzazi kwa wanawake. Maambukizi ya Mycoplasma genitalium ambayo kwa kawaida hayana dalili, wakati mwingine hufanana na dalili za kisonono na kaswende kwa kuwashwa mfululizo kwa mrija wa mkojo kwa wanaume na mlango wa kizazi kwa wanawake. Kutokana na kuweza kusamabisha maumivu makali ya nyonga kwa wanawake, bakteria huyo anahusishwa pia.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A)

Elimu kwa wanawake