Posts

Showing posts from June 22, 2019

IMANI

Image
Mwaka 2014 mtu mmoja kutoka Hail, Saudi Arabia ambae hakutaka jina lake kutajwa aliweka Friji kubwa nje kwaajili ya watu mbalimbali kuweka vyakula kwaajili ya kuwasaidia watu maskini ambao hawajiwezi. Lengo ni kuwaondolea aibu ya kuomba chakula kwa watu badala yake kupitia Friji hizo mtu anachukua chakula bure bila kuomba.

HII NI KWELI TU HATA KAMA ULIKUA HUJUI ILA NI UKWELI KUBALI

Image
Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo. 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono yake huwa imetulia zaidi 2. Sikiliza kwa makini namna mtu anavyozungumzia watu wengine akiwa na wewe, na ndivyo atakavyokuzungumzia wewe akiwa na watu wengine 3. Ndoto zako zinabeba ujumbe mhimu sana. Asilimia 70 ya ndoto zako zina ujumbe wa siri. 4. Kwa kawaida watu huwa waaminifu na wakweli mwili ukiwa umechoka, na ndio sababu hutubu na kutoa siri zao kwenye mazungumzo yatekeayo usiku wa manane, 5. Ukihisi mtu au watu wanakuangalia, angalia saa au mda kama unataka kujua wakati, watu wanaokutazama nao watatizama saa, hii ni kwa sababu kuangalia wakati/mda huambukiza 6. Kunywa maji ya baridi sana mapema asubuhi husaidia mwili wako kufanya kazi vizuri hadi asilimia 25. 7. Kukumbatiana huondoa shauku, msongo wa mawazo na huongeza kinga ya mwili. 8. Kushindwa kumtoa mtu akilini mwako imamaanisha kwamba nawe upo