Posts

Showing posts from May 19, 2019

KAMA HUKUOA MKE ZAIDI YA MMOJA MBARONI HUKO USWATINI KWA MSWATI

Image
MFALME ATOA AMRI VIJANA WAOE WAKE KUANZIA WAWILI Mfalme wa King eSwatini amewataka vijana wote nchini humo waliofikisha umri wa kuoa, kuoa haraka huku akisisitiza kuwa wanatakiwa kuoa wake walau kuanzia wawili na kwa wale watakaoshindwa kufanya hivyo watafungwa jela ifikapo june 2019. Mfalme huyo ambaye anawake 15 na watoto 25 na inaelezwa baba yake alikuwa na wake zaidi ya 70 na watoto 150, amesema nchi ya eSwatini inakabiliwa na tatizo kubwa la wanawake kukosa waume kutokana na nchi hiyo kuwa na wanawake wengi kuzidi wanaume. Nchi hiyo ambayo inaaminika kuwa na ‘mabikira’ wengi swala la ndoa za wake wengi limekuwa likionekana nikitu cha kusifiwa licha ya kuwa familia nyingi zikishi kwenye maisha ya kawaida

SUGU APATA MTOTO AMPA JINA LA J-Z

Image
MBUNGE wa Mbeya mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na mchumba wake, Happyness Msonga wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye wamempa jina la rapa maarufu wa Marekani, Shawn Carter maarufu kama Jay Z. Sugu ambaye pia ni rapa mkongwe hapa Bongo, ametumia ukurasa wake wa instagram kuandika maneno haya. “Tumempa mtoto wetu jina Shawn joseph Mbilinyi… SHAWN (Tamka SHON), lina maana ya zawadi kutoka kwa Mungu ( A GIFT FROM GOD). Pia ni katika kumuenzi msanii na mfanyabiashara maarufu duniani JAY-Z, ambaye jina lake halisi ni SHAWN CARTER. Hii ni kutokana na jinsi FALSAFA zake kuhusu HUSTLING zilivyonisaidia kufika hapa nilipo kwenye maisha. Asanteni sana…  # JONGWE   # MVMP   # MisutiKabatini ,” ameandika Sugu.