Posts

Showing posts from July 28, 2019

NCHI KUMI KINARA WA USHIRIKINA DUNIANI

Image
UMEISIKIA HII?? HII HAPA ORODHA YA NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MASUALA YA UCHAWI NA USHIRIKINA DUNIANI, TANZANIA NAYO IMETAJWA Tanzania imetajwa kuwa nchi ya 10 katika orodha ya nchi zinazoamini ktk masuala ya uchawi, ulozi, mapepo, imani za kishirikina na kila aina ya nguvu za giza duniani. Mtandao wa The Richest umetaja nchi 10 duniani mashuhuri kwa mambo ya ushirikina, Tanzania ikishika nafasi ya 10 ktk orodha hiyo. Bara la Afrika limetoa nchi 5, huku nafasi ya kwanza ikishikwa na Indonesia. Mauaji ya albino ni moja ya mambo yaliyoipa Tanzania alama za juu katika orodha hiyo. Orodha kamili ni kama ifuatavyo: 1. Indonesia 2. DRC 3. Ghana 4. Colombia 5. Uganda 6. Papua New Guinea 7. Nigeria 8. Nepal 9. Gambia 10. Tanzania Picha hii inaonyesha binti akiaguliwa sehemu za siri na mganga ili bwana wake akishiriki nae tendo asitamani mwanamke mwingine.Sidhani kama mganga alimuacha salama.

Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu

KISA Cha Kusikitisha 'Baba Yangu Alisababisha Nilale na Mjomba Wangu, Kamwe Sitamsamehe' Nimeona leo nitoe siri yangu hapa ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiniumi za sana pale tu ninapokumbuka, nakosa raha na amani inapotea. Kwa ufupi kabisa, nilizaliwa mkoani Mara wilaya ya Musoma mjini maeneo ya Nyakato, mama yangu alibeba mimba yangu akiwa darasa sita hivyo hakumaliza shule. Ilibidi akae nyumbani mpaka pale alipojifungua, kwa wakati kulikuwa hakuna sheria kali kwa wanaowapatia wanafunzi mimba wakiwa shule. Na aliyempatia hiyo mimba naye alikuwa mwanafunzi mwenzake lkn alikuwa la saba yeye alimaliza shule. Baba yake mama ambaye ni babu yangu alikuwa na uwezo mkubwa hivyo hakushindwa kutulea mimi na mama. Nikiwa na miaka 6 ndipo nilipokuja kumjua baba yangu wakati huo nae alikuwa amekuwa mtu mzima, alikuja akanisalimia akaondoka, kwao pia walikuwa vizuri kimaisha. Nikiwa na miaka 9 naanza darasa la kwanza wakati huo tulikuwa tunaingia shule tukiwa na umri mkubw