Posts

Showing posts from June 21, 2019

ENDAPO MAREKANI ITAANZISHA VITA SISI TUTAMALIZA VITA HIVYO :MEJA JENERALI QASSAM WA KIKOSI MAALUMCHA IRAN

Image
Meja Jenerali Qassem Soleimani wa Iran amuonya Trump kwamba vita 'vitaharibu kila anachomiliki' Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza h Haki miliki ya picha GETTY/REUTERS Kamanda wa kikosi maalum cha Iran amemuonya rais Donald Trump kwamba taifa lake litaharibu 'kila kitu kinachomilikiwa na rais huyo' iwapo Marekani itashambulia Iran. Meja Jenerali Qassem Soleimani aliapa kwamba iwapo bwana Trump ataanzisha vita, 'jamhuri ya Iran itamaliza vita hivyo', chombo cha habari cha Iran tasnim kiliripoti. Matamshi yake yanafuatia matamshi ya Trump katika mtandao wa Twitter akimuonya rais wa Iran kutojaribu kutishia Marekani. Hali ya wasiwasi imezuka tangu Marekani ilipojiondoa katika makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran ya mwaka 2015. Meja jenerali Soleimani-ambaye anaongoza kitengo cha jeshi la Quds kutoka katika jeshi la Iran la elite Revolutionary Guards - alinukuliwa siku