Posts

Showing posts from May 30, 2019

UHASAMA KATI YA IRANI NA SAUDIA NA UWEZO WA KIJESHI NANI ZAIDI

Image
Je uhasama kati ya Saudia na Iran unasababishwa na nini? Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Ema Haki miliki ya picha REUTERS/EPA Image caption Kiongozi wa dini nchini Iran Ayatollah Ali Khamenei (kushoto) na Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman Saudi Arabia na Iran wamekuwa wapinzani wakuu na hii ndio sababu. Kwa nini Saudia na Iran hawapatani? Saudi Arabia na Iran - majirani wawili wenye uwezo mkubwa wamekuwa wakizozana kila mmoja akitaka kuonekana mwenye uwezo katika eneo la mashariki ya kati. Uhasama huo wa muongo mmoja sasa kati ya mataifa hayo mawili unasababishwa na tofauti ya kidini. Mataifa hayo mawili yanafuata madhehebu mawili ya kidini ya Kiislamu. Iran ina Waislamu wengi wa madhehebu ya Kishia huku Saudia ikijiona kuwa ndio taifa la madhehebu ya Kisunni linaloongoza kwa uwezo. Wakenya washangazwa na vazi la Fiji Raia wa Kongo wajiandaa kuupokea mwili wa Etienne T