Posts

Showing posts from June 11, 2019

HUYU NI MWAFRIKA ALIYEWAHI KUWA TAJIRI ZAIDI DNIANI.

Image
Je Mfalme Mansa Musa kutoka Mali ndiye aliyekuwa tajiri zaidi duniani? Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Mansa Musa alisafiri kutoka mecca na msafara wa watu 60,000 na watumwa 12,000 Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ndiye mtu tajiri zaidi duniani , kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliotolewa wiki hii. Akiwa na mali yenye thamani ya $131bn (£99bn) ndiye mtu tajiri zaidi duniani. Lakini yeye sio mtu tajiri kuwahi kuishi duniani. Taji hilo linadaiwa kumilikiwa na Mansa Musa , mfalme wa karne 14 kutoka Afrika Magharibi ambaye utajiri wake ungeathiri uchumi wa taifa zima. Akaunti zake zilikuwa na utajiri mkubwa kitu ambacho ilikuwa vigumu kuweza kubaini thamani ya utajiri na uwezo wake ,kulingana na Rudolph Butch profesa wa Historia katika chuo kikuu cha california . Mansa Musa alikuwa tajiri zaidi ya mtu yeyote angew