Posts

Showing posts from July 25, 2019

Idadi ya Watu Duniani yafikia 7.8 Bilioni huku wanawake wakiongezeka zaidi

Image
Nini kinachofanya wanawake kuwa wengi zaidi kuliko wanaume? 1. VIFO: Wanaume huishi umri mchache kulingana na wanawake pia wao wengi wao ndio huenda vitani na askari wa kiume ndio wengi kuliko wanawake hivyo ikitokea nchi yoyote ikaingia vitani ni dhahiri wanaume ndio watapungua zaidi ikitokea vifo mfano mna askari wa kiume 1000 wakiwa wameacha wake zao nyumbani basi wakifa 500 jua tayari kuna wanawake 500 watakosa waume zao na kubaki wajane hivyo kama walikua hawataki waume zao kua na mwanamke mwingine basi na wao wajiandae kukataliwa na wanawake wenzao kuingia kwenye ndoa zao malipo ni hapa hapa. 2. Uzazi. katika takwimu za zazi huonyesha wanawake huzaliwa wengi kuliko wanaume. 3. Hikma ya Mungu kuwafanya wao kuwa wengi ni kwa sababu ya maumbile walioumbwa nayo wanaume. Ripoti ya Umoja wa Mataifa kwa Mwaka #2019 ikionyesha Idadi ya watu duniani,  # earth   # earthday Jumla ya watu wote ni 7.8 billions Out of that; Women = 5.6 billions Men = 2.2 billions For Men&#

Elimu kwa wanawake

KUMEKUA NA DHANA POTOFU KWA BAADHI YA WANAWAKE KIPINDI CHA UJAUZITO ELIMU KWA WANAWAKE *FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI KIPINDI CHA UJAUZITO* _Mwanamke akiwa na mimba anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa hata kama anatarajia kuzaa ke sho yake, hakuna tatizo lolote linalomzuia kufanya hivyo, baadhi ya wanawake wamekua wazito sana kufanya hivyo kwa kua na sababu mbalimbali za kujitetea bila kujua kwamba wanazikosa faida hizi ambazo ni muhumu kiafya faida zenyewe ni kama zifuatazo_ *Husaidia uchungu mzuri na kupona mapema.* kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa huambatana na kubana kwa misuli ya nyonga hii husaidia kuweka imara misuli ya nyonga ambayo ni muhimu sana wakati wa kusukuma mtoto na baada ya kuzaa kwani misuli hii ikiwa legevu mwanamke huweza kushindwa kuzaa kwa njia ya kawaida na hata baada ya kuzaa huweza kushindwa kuzuia mkojo usitoke wenyewe au kuvuja damu kwa muda mrefu. *Hupunguza kwenda ovyo kukojoa au kujikojolea.* Wakati wa ujauzito mtoto anapozidi kua mkubwa

Mike Tyson amepona sasa

Image
MIKE TYSON AMEPONA SASA! MEI 23, 2017, Mike Tyson, kupitia jukwaa la Salt Conference, CNN, alisema: "Sikudhani kama ningeuvuka umri wa miaka ya 30." Tyson alidhani angekufa kwa sababu alikata tamaa, kila kitu kilegeuka juu chini, akawa chapombe, mvuta bangi na mbwia unga. Ajabu eeh! Tyson aliyashinda maisha akiwa na umri wa miaka 15. Akatwaa medali ya Olympic. Akatwaa nyingine akiwa na miaka 16. Akawatwanga "baba zake" ulingoni akiwa na umri wa miaka 18. Tyson mwenye miaka 20 , alitwaa ubingwa wa dunia wa boxing. Umri mdogo zaidi kupata kutokea. Mwenye ngumi katili. Aliyepanda ulingoni kuua, sio kuburudisha. Alikuwa na afya imara kweli. Mwaka 1985 alipigana mapambano 15 ndani ya miezi 9. Wastani wa pambano moja kila wiki mbili na alishinda yote. Ngumi zilimpenda, mashabiki walimpenda, fedha zilimkimbilia kwa fujo. Maisha ya starehe na fujo za ujana, vilipunguza umwamba wake. Katika documentary inayoitwa "Tyson" ya mwaka 2008, Tyson alisema, map