Posts

Showing posts from December 8, 2019

FITINA YA MAREKANI KWA GAS YA URUSI

Image
UKISTAAJABU MAAJABU YA FITNA ZA GAS YA MTWARA UTAYAONA MAAJABU YA FITNA ZA MAREKANI KWA GAS YA URUSI Mradi wa bomba la gas asilia ya bei nafuu kutoka Urusi kupitia bahari ya baltic Finland Serbia mpaka Ujerumani uitwao Nord Stream two uko mbioni kukamilika licha ya presha kumbwa ya tishio la vikwazo na misukosuko ya vitisho vya Marekani kuziwekea vikwazo mabenki kampuni za Urusi Ujerumani Italy na Ulaya zilizohusika katika usambazaji wa mitaji vifaa nyenzo teknolojia nakadhalika . Kufanikisha mradi huo kwa Urusi ni robo ya ushindi dhidi ya kuutumia utajiri wao wa rasilimali gas kuwa si tu bidhaa bali silaha ya kulinda maslahi yao ya kiuchumi na kisiasa. Kwa wajerumani napo ni uzoefu mpya kwa kuvuka hatua ya kwanza ya kubishana na mume mbabe bila kupigwa makofi tangu walipozwa kisiasa kiuchumi na kijeshi kama malipo ya uharibifu wa vita kuu mbili za dunia alizozianzisha na kupiwa kwa uzembe mdogo tu wa kujaribu kupiga msamba kwenye maeneo yenye utelezi wa barafu za Jumuiya ya kis