Posts

Showing posts from August 10, 2019

Chanzo cha ajali ya lori kuwaka moto ni mtu mmoja alipojaribu kuiba betri

Image
LORI LA MAFUTA LAPINDUKA MOROGORO, LALIPUKA NA KUUA ZAIDI YA 100 Ínaripotiwa kuwa Idadi kubwa ya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 100 wanahofiwa kufa moto baada ya gari la mafuta lililopata ajali kuwaka moto mkoani Morogoro. Imeripotiwa kwamba Lori hilo lililokuwa limebeba mafuta lilikuwa linatokea Dar Es Salaam lilipofika eneo la Itigi Mzambarauni nje ya mji wa Morogoro muda ya saa moja asubuhi kukawa na mwendesha bodaboda akakatiza mbele ya lori hilo wakati mwenye lori anam kwepa ndipo lori hilo likaanguka upande wa kushoto mwa barabara, kisha akajitokeza mtu mmoja kuchomoa betri kwenye lori hilo, watu mbalimbali haswa wakiwemo waendesha boda boda nao wakafika eneo la tukio kwa ajili ya kuiba mafuta moto ukalipuka na wakapoteza maisha watu zaidi ya 100. Mashuhuda wa tukio hilo wameviambia vyombo vya habari kuwa lori la mafuta (petroli) lilipinduka, hivyo watu mbalimbali, wengi wao wakiwa madereva wa pikipiki wakaenda eneo la tukio na vibebeo kwa lengo la kupata kuchukua m