Posts

Showing posts from June 15, 2019

NI S 400 AU KUANGUKA KWA MAREKANI?

Image
i S 400 au ni Kuanguka kwa mhimili wa Marekani ? Prof. Dr. Kudret BÜLBÜL’ün  mkuu wa kitivo cha elimu ya siasa chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazıt anafafanua kuhusiana na nidhamu za ulimwengu Vipindi fulani katika historia huwa ni muda wa kuanzisha nidhamu, Nidhamu inayoanzishwa katika vipindi hivi huelekea mpaka katika mazingira ya mtafaruku au kutoelewana. Nidhamu ya “West phalia” iliyomaliza vita vya miaka 30 barani Ulaya, Nidhamu ya vita baridi iliyoanzishwa na mkutano wa Yalta baada ya kumalizika vita kuu ya 2 ya dunia ni katika nidhamu za kwanza za kidunia zinazoweza kukumbukwa. Katika mkutano wa Yalta aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Winston Churchill, Rais wa Marekani Franklin Roosevelt pamoja na aliyekuwa Rais wa muunganiko wa dola za kisovieti Josef Stalin, mwaka 1945 walikutana katika kijiji kidogo cha Krimea eneo la Yalta na kuweka misingi ya nidhamu ya vita baridi ambayo mpaka hii leo hakuna nidhamu nyingine iliyochukua nafasi ya nidhamu hii ya vita baridi. Pr

Malimwengu

Image
>Nilifika mjini kutafuta kazi ila sikufanikiwa kwa wakati mpaka nikaishiwa pesa yote niliyojipanga kutumia wakati natafuta sehemu ya kujishikiza....... >>Hatim aye Dada mmoja alinipenda na nikaanza kuishi nae kwake alipopanga kama mpenzi, nasikitika alichonifanyia kwa kunifanyia njama kwa wahuni wakanipiga ni baada ya kunikuta na mchepuko mwingine chumbani kwake. # Nimfanyeje ??