Posts

Showing posts from June 6, 2019

Top 10 Most Richest Presidents In The World

Image

Al Madrasat Hilal Mikocheni A Ust Hafidh Adabu kwa wazazi

Image

MABINTI WA P DIDDY WATOKELEZEA NA MILIONI 114

Image
MABINTI WA P DIDDY WATOKELEZEA NA MIL.114 M ABINTI watatu wa mkongwe katika Muziki wa Hip Hop, P Diddy, D’Lila, Jessie na Chance wametokelezea na vitu vyenye thamani ya dola 50,000 (zaidi ya shilingi milioni 114 za Kibongo) kwa usiku mmoja. Mabinti hao walitokelezea katika uzinduzi wa filamu mpya ya The Secret Life Of Pets 2 ndani ya Ukumbi wa Regency Village Theatre uliopo Westwood, California. Katika mabinti hao, kuna pacha wawili, D’Lila na Jessie ambao walitinga vibegi vya mgongoni aina ya Hermes vilivyotengenezwa kwa kutumia ngozi ya chatu vyenye thamani ya dola 22,000 kila kimoja (zaidi ya shilingi milioni 100 kwa viwili) na dada yao, Chance alitinga na kipochi cha njano aina ya Christian Louboutin yenye thamani ya dola 5,000 (zaidi ya shilingi milioni 11). Pacha D’Lila na Jessie’s mom walizaliwa na marehemu, Kim Porter lakini Chance alizaliwa na Sarah. Kwa sasa wote watatu wanalelewa na Sarah. CALIFORNIA, MAREKANI

ORODHA MPYA MABILIONEA WA KIAFRIKA MO APANDA KUTOKA NAFASINYA 16 HADI YA14

Image
FORBES: MO DEWJI APANDA KWENYE ORODHA YA MATAJIRI AFRIKA Jarida linalotoa orodha ya watu ambao wanakusanya kiasi kikubwa cha pesa Afrika na duniani kwa ujumla ‘FORBES’ limekuja tena na orodha ya matajiri. Katika orodha ya watu tajiri Afrika, Mtanzania ambaye amewekeza hisa zake katika klabu ya Simba na Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ amezidi kupanda juu kutoka namba 16 mpaka 14. Orodha kamili hii hapa.

NUHU JABIR MRUMA AWA KATIBU MKUU BAKAWATA

Image
Ofisi ya M Penda Ukurasa ·  Hatimaye Nuhu Jabir Mruma aukwaa ukatibu mkuu BAKWATA. .................................... Mwalimu Nuhu mzaliwa wa kijiji cha Shighatini kilichoko kwenye kile le cha milima ya Upare wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ameanzia kwenye unaibu katibu utawala, ukaimu katibu na leo kwenye Baraza la Idil Fitri ametangazwa kuwa katibu mkuu.- BAKWATA. Nuhu Mruma ambaye miaka miwili nyuma alikuwa Mwalimu mkuu shule ya sekondari Alharamain ya jijini Dar es salaam amefahamika sana kwa kasi ya utendaji wake. Tangu alipopewa unaibu katibu, BAKWATA ilikuwa inapita kwenye kipjndi kigumu ambacho kilihitaji mchapa kazi jasiri mwenye kujituma aliyekuja BAKWATA kwa ajili ya kuisaidia na si vinginevyo. Nuhu Mruma anafahamika kwa msimamo wake wa kuheshimu kazi za watendaji huku akiamini kwamba "BAKWATA haihitaji viongozi bali BAKWATA inahitaji watu" Bila shaka anamaanisha viongozi wapo na kazi yao ni kuhudumia watu na kutafuta uungwaji mko

Avunja nyumba aliyomjengea masikini baada ya masikini huyo kufurahi kupigwa chini

Image
Waziri wa zamani na Mbunge wa jimbo la Blantyre Kaskazini Mashariki mwa Malawi, Cecilia Chazama amevunja nyumba aliyokuwa amemjengea mama mmoja maskini kwenye jimbo lake baada ya mama huyo kushangilia Cecilia alipoangushwa kwenye nafasi yake ya ubunge. Tukio hilo lilitokea, 31 May 2019 Former DPP MP for Blantyre North -East Cecilia Chazama is demolishing a house she built for a fellow villager in her area, Maleule near Lunzu, Blantyre, for supporting an opponent during the re cent elections. The poor lady is said to have been supporting a UDF candidate in the area, Bakali, who was poised to win but was later disqualified for submitting a fake certificate to MEC. The UDF candidate then endorsed an independent who has won the election there and Chazama has been targeting and doing evil to all those who supported her opponents. The story says Chazama had an exchange contract with the lady, who asked for anyone who was willing to construct her a house t