Posts

Showing posts from June 5, 2019

KLABU YA BRIGHTON INAYOCHEZA LIGI YA PRIMIA YA ENLGLAND NA ASTON VILLA NI MIONGONI YA VILABU VINAVYOMUWANIA SAMATTA KAWA DAU LA BILIONI 3

Image
Klabu ipi ya England kumng’oa Samatta Genk? Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Klabu ya Brighton inayocheza ligi ya Primia ya England inaongoza msururu wa klabu zinazomuwania mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta. Klabu nyengine za England ambazo zinamuwania Samatta ni Aston Villa, Watford, Leicester na Burnley. Kwa mujibu wa gazeti la The Sun la Uingereza Samatta ana thamani ya Pauni milioni 12. Samatta ambaye bado ana mwaka mmoja kwenye mkataba wake na mabingwa wa Ubelgiji KRC Genk pia amezivutia klabu za Roma ya Italia na Lyon ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo ambaye aliongoza kwa kupachika mabao msimu uliopita nchini Ubelgiji ameweka wazi kuwa anataka kuelekea nchini England msimu ujao. "Kwa sasa hivi siwezi kusema sana, ni kitu ambacho kipo kwenye mchakato nasubiria kitakapokuwa tayari na wakati utakapofika nitaweza kukizungumza. L

Esperance yatakiwa kurudisha kombe Klabu bingwa

Image
Klabu bingwa Afrika: Esperance yatakiwa kurudisha kombeSaa 6 zilizopita Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha AFP Image caption Wachezaji wa Wydad walimgomea mwamuzi wakimtaka atumie VAR Esperance wametakiwa kurejesha kombe la ligi ya klabu bingwa Afrika na kucheza mechi ya marudiano ya fainali. Esperance ya Tunisia iliongoza kwa goli 1-0 kwenye mechi ya marudiano lakini wapinzani wao Wydad Casablanca waliondoka baada ya goli lao la kusawazisha kukataliwa Wydad walitaka video ya wasaidizi wa waamuzi VAR kuthibitisha kama lilikua goli au la lakini mfumo wa mashine hiyo ulikua haufanyi kazi. Shirikisho la soka Afrika (Caf) lilisema kuwa mechi ya marudiano itachezwa katika uwanja wa ugenini. Matokeo hatimaye yalisimama kuwa 1-1 kutokana na mechi ya kwanza ya Morocco Mechi ya marudiano itafanyika baada ya michuano ya kombe la mataifa Afrika itakayofanyika n

Jinsi Yanga ilivyopata nafasi ya kushiriki klabu bingwa

Image
Yanga inajiunga na Simba katika kombe la mabingwa Afrika Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email Tanzania itawakilishwa na timu nne za soka katika mashindano ya michuano ya Caf mwakani. Hatua hiyo inajiri baada ya taifa la Tanzania kuorodheshwa miongoni mwa mataifa 12 barani Afrika yenye ligi bora . Hiyo inamaanisha kwamba klabu ya Yanga ambayo ilimaliza katika nafsi ya pili itajiunga na mabingwa wa ligi ya Tanzania Simba katika kushiriki ligi ya mabingwa. Timu nyengine zitakazowakilisha Tanzania katika michuano hiyo ya Caf ni Azam Fc na KMC zitakazoshiriki katika kombe la Shirikisho. Ruka ujumbe wa Twitter wa @zittokabwe View image on Twitter Zitto Kabwe Ruyagwa ✔ @zittokabwe Tunaposema @ SimbaSCTanzania ni Timu ya Taifa tuna maana hii. Sasa Tanzania kuwa na Timu 4 makombe ya Bara la Afrika Kwa sababu ya mafanikio ya Simba kwenye ligi ya mabingwa Afr