Posts

Showing posts from January 18, 2021

Wahamiaji kutoka Amerika ya Kati wakijaribu kuingia marekani

Image
  Menu Wachezea kichapo wakitaka kwenda Marekani Hamza Fumo 12 hours ago  599 Msafara wa wahamiaji kutoka Amerika Kusini uliokuwa ukielekea nchini Marekani umekutana na marungu na gesi za kutoa machozi nchini Guatemala, ambako vikozi vya usalma vilifunga njia yao ya kupita kuelekea Marekani. Maelfu ya watu walizuiwa kwenye barabara karibu na mpaka wa Guatemala na Honduras. Serikali imesema haingekubali “matembezi ya umati wa watu kinyume cha sheria “. Wahamiaji wanaokadiriwa kuwa 7,000 , wengi wao kutoka Honduras, wameingia katika siku za hivi karibuni, wakikimbia umasikini na gasia. Wanatumaini kusafiri hadi Mexico, na baadaye kuufikia mpaka wa Marekani. Kila mwaka, maelfu ya wahamiaji wa Amerika ya kati hujaribu safari hii ili kujaribu kufika Marekani, mara nyingi kwa hutemea kwa miguu. Rais mteule wa Marekani Joe Biden, kutoka chama cha Democrat, ameapa kuondoa sera kali za uhamiaji zilizowekwa na mtangulizi wake, Donald Trump, kutoka Republican. Lakini utawala wa Bw Biden ,ambao ut