Posts

Showing posts from June 10, 2019

KIJIJI KINACHOONEKANA KWA MWAKA MWEZI MMOJA KISHA MIEZI 11 HUZAMA

Image
India: Kijiji kilichozama kinachoonekana mwezi mmoja kwa mwaka Sambaza habari hii Faceboo   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha GURUCHARAN KURDIKAR Image caption Bwawa la kwanza la jimbo hilo lilizamisha kijiji cha Curdi Kijiji cha kimoja magharibi mwa India kinaonekana kwa mwezi mmoja - miezi 11 iliyosalia, kijiji hicho huzama chini ya maji. Maji yanapokauka, wakaazi wake waliyohamishwa katika sehemu nyingine, huja pamoja kusherehekea ujio wa kijiji chao, Supriya Vohra anaripoti. Kijiji cha Curdi kinapatikana katikati ya milima miwili ya magharibi ya Ghats na mto Salaulim river - moja ya mito mikubwa katika jimbo la Goa. Kijiji hicho wakati mmoja kilikuwa kimeendelea sana na kilikuwa maarufu sana katika jimbo hilo. Mwaka 1986, Bwawa la kwanza lilijengwa katika la jimbo hilo na matokeo yake ilikuwa kuzama kwa kijiji hicho. Lakini kila mwaka mwezi Mei, maji yakipungua mabaki ya kijij