Posts

Showing posts from June 4, 2019

BREAKING NEWS

Image
Yanga yarejeshwa michuano ya Klabu Bingwa 2019/20 Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaz kuwa klabu ya Yanga itaungana na Simba kushiriki michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao. Yanga TFF imesema kuwa taarifa hiyo imethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, ambapo katika michuano ya shirikisho barani Afrika, Azam FC na KMC zitaiwakilisha Tanzania. Hiyo ni kutokana na Tanzania kupanda katika viwango vya ubora wa vilabu katika miaka ya karibuni ambapo hivi sasa imekuwa katika nafasi ya 12, ambapo itapata nafasi ya kuwakilisha timu 4 katika michuano ya kimataifa. Isome barua ya TFF hapo chini.

ELIMU

Image
MAAJABU YA TEMBO 1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi. 2. Tembo ana uzito wa tani 7 na ndiye mnyama mwenye seli zenye umbo dogo mno. 3. Tembo jike hubeba mimba miezi 22 au miaka 2 na hutoa sauti ya kicheko kama binadamu 4. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 200 hadi 300 na maji lita 40 hadi 100. 6. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele 7. Umri wake wa kuishi ni miaka 60 hadi 80 8. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu. 9. Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12; masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza. 10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne na huishi kifamilia na wakitaka kujamiana hujitenga na kwenda mbali kwasababu ya kuona aibu(kuona haya). 11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita t

MAPISHI

Image
  ·     ·   Vipimo Unga 5 Vikombe Tui la Nazi zito vugu vugu 1 ¼ kikombe Sukari 3/4 kikombe cha chai Samli iliyoyayushwa au mafuta 3 vijiko vya Supu Hamirah 2 Vijiko vya Supu Hiliki 1/2 Kijiko cha chai Mafuta ya kukaangia Namna Ya Kutayarisha Na Kupika 1. Ndani ya kibakuli kidogo, mimina hamira na na vijiko viwili vya kulia vya tui. Weka kando mpaka hamira ianze kufura, kama dakika 5-10. 2. Pasha samli moto 3. Ndani ya bakuli kubwa au sinia, changanya unga, sukari, iliki na samli ikiwa bado moto moto. 4. Mimina hamira ndani ya mchanganyiko wa unga. Changanya na ukande huku ukitumia lile tui la nazi. Tui likipungua unaweza ukaongeza maziwa. Kanda unga mpaka uwe laini. 5. Kata madonge *12 au 15 uyaweke kwenye baraza iliyonyunyiziwa unga na uyafunike ili yapate kufura na yasikauke. *Ukipenda maandazi manene fanya madonge 12. Ukipenda mepesi fanya madonge 15 7. Pasha mafuta moto kwenye karai. Maandazi yako tayari kuka