Posts

Showing posts from July 18, 2019

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

UKUMBUSHO WENYE MANUFAA* *6* *FAIDA YA KUOA MWANAMKE ALIYEKUZIDI UMRI* ``` 1⃣ :Anajiheshimu, anajiona ni mkubwa so inshu Za upuuzi hazipi nafasi. 2⃣ : Anamtii sana mumewe Kwa sababu asipomtii sana mumewe Basi ni rahisi Mume kuhisi anamdharau Kwa kuwa Na Mdogo .. Na Utii ndio tunu pekee ndani ya NDOA. 3⃣ : hawezi kumfokea au kumgombeza mumewe Kwa sababu nature ya umri. 4⃣ : hujiona tu ana wajibu mpana sana ndani ya familia, hakurupuki. 5⃣ : ni rahisi sana kusamehe, makosa ya Mume huyachukulia kama makosa ya mdogo wake. 6⃣ : Mume huwa mwangalifu sana Kwenye kuijenga nyumba yake, hakurupuki Kwa sababu atachelea Kufanya utoto Na mkewe kumcheka. 7⃣ : wakati Wa mashauriano Wanashauriana kila Mtu akiwa Kwenye Enzi yake, Mume akishikilia Kama Kichwa Cha Nyumba huku akitambua anayenishauri kaliona jua kabla yake..lazima awe makini sana. 8⃣ : Mke humstahi sana Mume wake, hamropokei nje, hujihisi atabezwa kwanini ameolewa Na mdogo so hustahi mambo mengi.. 9⃣ : Mke hujiona