Posts

Showing posts from June 2, 2019

Wahubiri wanaopata utajiri kutoka kwa watu masikini

Image
Wahubiri wanaopata utajiri kutoka kwa Wamarekani masikini Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha JOSEPH DE SCIOSE Image caption Larry na Darcy Fardette walitoa pesa nyingi kwa wahubiri mbali mbali Mhu b iri anaye fikisha ujumbe wake  kwa njia ya  Telev isheni  Todd Coontz  amekuwa na mtindo wa kuvaa mavazi ya kupendeza :  huvalia  suti ,  na kutoa Biblia yake huku akiwataka watazamaji wake kutoa ahadi za kiasi fulani  cha  pesa. " Usichelewe, usichelewe,"  huwaagiza watazamaji wake akiwa mtulivu lakini kwa kauli ya kuwalazimisha. Husikika kama jambo rahisi, , lakini Coontz anawafahamu vizuri watazamaji wake. Hutoa mahubiri yake katika Televisheni ya Kikristo, mara nyingi wakati wa usiku, na kuwavutia watazamaji wanaokabiliwa na matatizo ya kifedha na ambao wanataka mabadiliko. "Nafahamu sheria zinazolinda bima yenu , hisa, riba na