Posts

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

UKUMBUSHO WENYE MANUFAA* *6* *FAIDA YA KUOA MWANAMKE ALIYEKUZIDI UMRI* ``` 1⃣ :Anajiheshimu, anajiona ni mkubwa so inshu Za upuuzi hazipi nafasi. 2⃣ : Anamtii sana mumewe Kwa sababu asipomtii sana mumewe Basi ni rahisi Mume kuhisi anamdharau Kwa kuwa Na Mdogo .. Na Utii ndio tunu pekee ndani ya NDOA. 3⃣ : hawezi kumfokea au kumgombeza mumewe Kwa sababu nature ya umri. 4⃣ : hujiona tu ana wajibu mpana sana ndani ya familia, hakurupuki. 5⃣ : ni rahisi sana kusamehe, makosa ya Mume huyachukulia kama makosa ya mdogo wake. 6⃣ : Mume huwa mwangalifu sana Kwenye kuijenga nyumba yake, hakurupuki Kwa sababu atachelea Kufanya utoto Na mkewe kumcheka. 7⃣ : wakati Wa mashauriano Wanashauriana kila Mtu akiwa Kwenye Enzi yake, Mume akishikilia Kama Kichwa Cha Nyumba huku akitambua anayenishauri kaliona jua kabla yake..lazima awe makini sana. 8⃣ : Mke humstahi sana Mume wake, hamropokei nje, hujihisi atabezwa kwanini ameolewa Na mdogo so hustahi mambo mengi.. 9⃣ : Mke hujiona ...

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A)

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A) Omar bin Khatab alizaliwa mwaka 583 A.D ,asili ya familia yake inatokna na kabila LA Kikureish ..Katika ujana w ake Omar alikuwa maarufu ktk upiganaji .Baadhi ya wanahistoria wa kiislam wanasema Omar (r.a) alikuwa ni miongoni mwa watu wachache waliokuwa wanajuwa kusoma na kuandika ktk Mji wa Makka kabla ya kuja Uislam . Kazi yake kubwa ilikuwa ni biashara .Wakati Mtume s.a.w anateremshiwa wahy na kulingania Uislam Umar alikuwa ni adui mkubwa wa Uislam na Mtume (s.a.w). Kuslimu kwa Omar bin Khattab (r.a) Omar aliiñgia ktk Uislam mwaka wa sita baada ya Utume.Mwaka huo viongozi wa Kikureish walieka mkutano wa kutafuta mtu atakayejitolea kumuua Mtume s.a.w .Omar alisimama na kusema yeye ni mtu sahihi wa kufanya kazi hiyo. Wakati yuko njiani akiwa na panga alikutana na Sa'ad bin Abii Waqas .Omar alimwambia Sa'ad "nakwenda kumuu Mtume s.a.w .Baada ya majadiliano Sa'ad alisema " Kwanza unapaswa kushuhilikia fami...

MACHACHE USIYOYAJUA KUHUSU TEMBO

Image
FAHAMU MACHACHE USIYOYAJUA KUHUSU TEMBO 1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi. 2. Tembo ana uzito wa tani 7 3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2 4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40 6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu. 7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele 8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60. 9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa manzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao ya kwanza) huko town hii hata kwa dawa haiwezekani..masaaa sita??? 10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne 11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano hiv au zaidi. ​UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA​.." Shea na wenzio wajue

KAZI

Image
Afande Jesca na Afande Juliet. Women Police wa Kisarawe. Kunogile!!!!!

TANGAZO LA KAZI

Image
MOROGORO HOTEL LTD(HINDAS) INA NAFASI 2 ZA KAZI(mapokezi,secretary),mshahara laki3 na 80,piga kwa meneja 0715827709

VANESSA AANIKA UKWELI KUHUSU KUMPINDUA LULU KWA MAJIZZO

Image
Vanessa Aanika Ukweli Kuhusu Kumpindua Lulu kwa Majizzo   Vanessa Mdee ameamua kukata mzizi wa fitna kwa kujibu tetesi ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi kuwa yeye ndio chanzo cha Uchumba wa Lulu na Majizzo kuvunjika. Tetesi za kuvunjika kwa penzi la Msanii huyo wa Bongo movie na Majizzo zilianza kusambaa kama mwezi mmoja uliopita huku Vanessa Mdee akitajwa ndio chanzo, akihusishwa kutoka Kimapenzi na Boss huyo wa Efm.  Kutokana na Uvumi huo kuenea kwa kasi, Vanessa Mdee kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kutoa majibu kuhusu Uvumi huo, akisisitiza kuwa yeye na Majizzo ni Marafiki tu na hakuna mapenzi kati yao. “Kabisa yule ni kakangu ni mtu na mheshimu tunafanya biashara pamoja ni mtu ambaye ni mdau wa music and we love that girl we love Lulu and that’s her husband. What are you all talking about?!”    Amefunguka Vanessa alipokuwa akiongea Live Instagram na Followers wake

UTAFITI

Image
Utafiti uliofanywa na Mzungu Jane Goodall (Pichani) katika hifadhi ya gombe Tanzania, unasema asilimia 98 ya akili ya Sokwe na binadamu zinafanana, imetofautiana kwa asilimia 2 tu.