KARIBU KATIKA UKURASA WA MWAGILLOH
TUNATENGENEZA KATIBA ZA VIKUNDI STATIONERY IPO MBEZI KITOPENI DAR ES SALAAM JIRANI NA OFISI ZA KATA AU ENEO LINALOJENGWA STAND MPYA YA MABASI YA MIKOANI
UTAFITI
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Utafiti uliofanywa na Mzungu Jane Goodall (Pichani) katika hifadhi ya gombe Tanzania, unasema asilimia 98 ya akili ya Sokwe na binadamu zinafanana, imetofautiana kwa asilimia 2 tu.
Maana ya na umuhimu wa mchanganuo Mchanganuo wa biashara ni andiko ambalo linaweka bayana malengo na madhumuni ya biashara na namna yatakavyofikiwa. Ni mpangilio maalum wa kuongoza utekelezaji wa kufanikisha lengo la biashara. Kuandaa mpango wa biashara ni muhimu kwa mafanikio ya biashara yoyote. Mchanganuo wa biashara hutoa dira na kusaidia kuongoza uendeshaji wa biashara. Mara nyingi ni sharti mojawapo katika kuomba mkopo. Mpango wa biashara ulioandaliwa vizuri utatoa majibu ya maswali mbali mbali kama vile nini madhumuni ya biashara yako, Utamwuzia nani/akina nani? Ni yapi malengo yako ya mwisho? Utagharimia vipi biashara yako? na mengine mengi Mpango wako wa biashara utakusaidia kutafakari mwelekeo wa kampuni yako na namna ambavyo itakabiliana na changamoto mbalimbali ili iwe endelevu. Vipengele muhimu vya Mchanganuo wa Biashara Vipengele muhimu vya Mchanganuo wa Biashara ni kama vifuatavyo:- 1. Ufupisho Kipengele hiki huandikwa mwishoni. Andika katika kipengele hiki mambo...
Thread starter Start da #1 Mpango wa Biashara (Business Plan) , ni nyenzo muhimu katika mafanikio ya biashara. Mpango wa Biashara humsaidia mjasiriamali ku-shape wazo lake la biashara na kulifanya kuwa fursa (Opportunity). FAIDA ZA KUWA NA MPANGO WA BIASHARA Hutoa taarifa za msingi juu ya biashara; zinazomuwezesha mjasiriamali kutafuta vyanzo vya fedha kwa ajili ya kuendeshea biashara. Huweza kutumika kwa ajili ya kuvuta rasilimali watu. Humsaidia mjasiriamali katika kutafuta na kupata mshirika/washirika katika biashara (Strategic Partiner/Suppliers) Mpango wa Biashara hupaswa kujikita katika maeneo ya msingi (critical aspects) za mfumo wako wa biashara (business model) na kutoka hapa ndipo tunapata mtindo au "format" ya Mpango wa Biashara. Busara (wisdom) ni kuamini kwamba Mpango wa Biashara ni nyaraka iishiyo "living document" maana ya dhana hii ni kwamba; kadiri siku zitakapokuwa zinakwenda, Mpango utakuwa unahu...
UKISTAAJABU MAAJABU YA FITNA ZA GAS YA MTWARA UTAYAONA MAAJABU YA FITNA ZA MAREKANI KWA GAS YA URUSI Mradi wa bomba la gas asilia ya bei nafuu kutoka Urusi kupitia bahari ya baltic Finland Serbia mpaka Ujerumani uitwao Nord Stream two uko mbioni kukamilika licha ya presha kumbwa ya tishio la vikwazo na misukosuko ya vitisho vya Marekani kuziwekea vikwazo mabenki kampuni za Urusi Ujerumani Italy na Ulaya zilizohusika katika usambazaji wa mitaji vifaa nyenzo teknolojia nakadhalika . Kufanikisha mradi huo kwa Urusi ni robo ya ushindi dhidi ya kuutumia utajiri wao wa rasilimali gas kuwa si tu bidhaa bali silaha ya kulinda maslahi yao ya kiuchumi na kisiasa. Kwa wajerumani napo ni uzoefu mpya kwa kuvuka hatua ya kwanza ya kubishana na mume mbabe bila kupigwa makofi tangu walipozwa kisiasa kiuchumi na kijeshi kama malipo ya uharibifu wa vita kuu mbili za dunia alizozianzisha na kupiwa kwa uzembe mdogo tu wa kujaribu kupiga msamba kwenye maeneo yenye utelezi wa barafu za Jumuiya ya kis...
Comments
Post a Comment