FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

UKUMBUSHO WENYE MANUFAA*
*6*
*FAIDA YA KUOA MWANAMKE ALIYEKUZIDI UMRI*
```1⃣:Anajiheshimu, anajiona ni mkubwa so inshu Za upuuzi hazipi nafasi.
2⃣: Anamtii sana mumewe Kwa sababu asipomtii sana mumewe Basi ni rahisi Mume kuhisi anamdharau Kwa kuwa Na Mdogo .. Na Utii ndio tunu pekee ndani ya NDOA.
3⃣: hawezi kumfokea au kumgombeza mumewe Kwa sababu nature ya umri.
4⃣: hujiona tu ana wajibu mpana sana ndani ya familia, hakurupuki.
5⃣: ni rahisi sana kusamehe, makosa ya Mume huyachukulia kama makosa ya mdogo wake.
6⃣: Mume huwa mwangalifu sana Kwenye kuijenga nyumba yake, hakurupuki Kwa sababu atachelea Kufanya utoto Na mkewe kumcheka.
7⃣: wakati Wa mashauriano Wanashauriana kila Mtu akiwa Kwenye Enzi yake, Mume akishikilia Kama Kichwa Cha Nyumba huku akitambua anayenishauri kaliona jua kabla yake..lazima awe makini sana.
8⃣: Mke humstahi sana Mume wake, hamropokei nje, hujihisi atabezwa kwanini ameolewa Na mdogo so hustahi mambo mengi..
9⃣: Mke hujiona ana nafasi ya kuyajenga maisha ya familia zaidi kuliko kutapanya Mali.
1⃣0⃣: Mume humwona mkewe mkubwa mwenzake Na humwachia baadhi ya majukumu Kwenye familia ayaendeshe yeye akiwa mbali bila kuhofia kwamba Mke anaweza vurunda.
Pia Tukumbuke kuoa mwanamke aliyekuzidi Umri ni Sunnah ya Mtume wetu Muhammad swalla llahu allehy wassalam, Mke wake wa Kwanza Alikuwa Bi khadija, Mtume Alikuwa na Umri wa Miaka 25 Bi Khadija Alikuwa na Umri wa Miaka 40 Atakae Oa mke aliyemzidi umri atakuwa Ameienzi Sunnah ya Bwana Mtume Swalla llahu allehy wassalam".```
*Shime alaykum tujizolee thawabu hizooo🌝*

Comments

Popular posts from this blog

Elimu kwa wanawake

Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)