Posts

KAZI

Image
Afande Jesca na Afande Juliet. Women Police wa Kisarawe. Kunogile!!!!!

TANGAZO LA KAZI

Image
MOROGORO HOTEL LTD(HINDAS) INA NAFASI 2 ZA KAZI(mapokezi,secretary),mshahara laki3 na 80,piga kwa meneja 0715827709

VANESSA AANIKA UKWELI KUHUSU KUMPINDUA LULU KWA MAJIZZO

Image
Vanessa Aanika Ukweli Kuhusu Kumpindua Lulu kwa Majizzo   Vanessa Mdee ameamua kukata mzizi wa fitna kwa kujibu tetesi ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi kuwa yeye ndio chanzo cha Uchumba wa Lulu na Majizzo kuvunjika. Tetesi za kuvunjika kwa penzi la Msanii huyo wa Bongo movie na Majizzo zilianza kusambaa kama mwezi mmoja uliopita huku Vanessa Mdee akitajwa ndio chanzo, akihusishwa kutoka Kimapenzi na Boss huyo wa Efm.  Kutokana na Uvumi huo kuenea kwa kasi, Vanessa Mdee kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kutoa majibu kuhusu Uvumi huo, akisisitiza kuwa yeye na Majizzo ni Marafiki tu na hakuna mapenzi kati yao. “Kabisa yule ni kakangu ni mtu na mheshimu tunafanya biashara pamoja ni mtu ambaye ni mdau wa music and we love that girl we love Lulu and that’s her husband. What are you all talking about?!”    Amefunguka Vanessa alipokuwa akiongea Live Instagram na Followers wake

UTAFITI

Image
Utafiti uliofanywa na Mzungu Jane Goodall (Pichani) katika hifadhi ya gombe Tanzania, unasema asilimia 98 ya akili ya Sokwe na binadamu zinafanana, imetofautiana kwa asilimia 2 tu.

IMANI

Image
Mwaka 2014 mtu mmoja kutoka Hail, Saudi Arabia ambae hakutaka jina lake kutajwa aliweka Friji kubwa nje kwaajili ya watu mbalimbali kuweka vyakula kwaajili ya kuwasaidia watu maskini ambao hawajiwezi. Lengo ni kuwaondolea aibu ya kuomba chakula kwa watu badala yake kupitia Friji hizo mtu anachukua chakula bure bila kuomba.

HII NI KWELI TU HATA KAMA ULIKUA HUJUI ILA NI UKWELI KUBALI

Image
Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo. 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono yake huwa imetulia zaidi 2. Sikiliza kwa makini namna mtu anavyozungumzia watu wengine akiwa na wewe, na ndivyo atakavyokuzungumzia wewe akiwa na watu wengine 3. Ndoto zako zinabeba ujumbe mhimu sana. Asilimia 70 ya ndoto zako zina ujumbe wa siri. 4. Kwa kawaida watu huwa waaminifu na wakweli mwili ukiwa umechoka, na ndio sababu hutubu na kutoa siri zao kwenye mazungumzo yatekeayo usiku wa manane, 5. Ukihisi mtu au watu wanakuangalia, angalia saa au mda kama unataka kujua wakati, watu wanaokutazama nao watatizama saa, hii ni kwa sababu kuangalia wakati/mda huambukiza 6. Kunywa maji ya baridi sana mapema asubuhi husaidia mwili wako kufanya kazi vizuri hadi asilimia 25. 7. Kukumbatiana huondoa shauku, msongo wa mawazo na huongeza kinga ya mwili. 8. Kushindwa kumtoa mtu akilini mwako imamaanisha kwamba nawe upo...

ENDAPO MAREKANI ITAANZISHA VITA SISI TUTAMALIZA VITA HIVYO :MEJA JENERALI QASSAM WA KIKOSI MAALUMCHA IRAN

Image
Meja Jenerali Qassem Soleimani wa Iran amuonya Trump kwamba vita 'vitaharibu kila anachomiliki' Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza h Haki miliki ya picha GETTY/REUTERS Kamanda wa kikosi maalum cha Iran amemuonya rais Donald Trump kwamba taifa lake litaharibu 'kila kitu kinachomilikiwa na rais huyo' iwapo Marekani itashambulia Iran. Meja Jenerali Qassem Soleimani aliapa kwamba iwapo bwana Trump ataanzisha vita, 'jamhuri ya Iran itamaliza vita hivyo', chombo cha habari cha Iran tasnim kiliripoti. Matamshi yake yanafuatia matamshi ya Trump katika mtandao wa Twitter akimuonya rais wa Iran kutojaribu kutishia Marekani. Hali ya wasiwasi imezuka tangu Marekani ilipojiondoa katika makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran ya mwaka 2015. Meja jenerali Soleimani-ambaye anaongoza kitengo cha jeshi la Quds kutoka katika jeshi la Iran la elite Revolutionary Guards - alinukuliwa siku ...