Posts

MAREKANI YAIPA URUSI ONYO

Image
Marekani yaipatia Uturuki onyo la mwisho la ununuzi wa silaha za UrusiSaa 3 zilizopita Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha PA Image caption Uturuki imepewa ilani ya kuchagua kati ya kununua ndege za kivita za Marekani au makombora ya Urusi Uturuki imepewa makataa ya hadi mwisho wa mwezi Julai kuchagua kati ya kununua ndege za kivita za Marekani na makombora ya Urusi. Kaimu waziri wa ulinzi wa Marekani Patrick Shanahan ametoa makataa hayo katika waraka aliyomwandikia mwenzake wa Uturuki, Hulusi Akar. Amesema Uturuki, haiwezi kumiliki ndege ya kisasa ya kivita chapa F-35 kutoka Marekani na makombora S-400 kutoka Urusi. Mgogoro wa Sudan: Kamata kamata dhidi ya upinzani 'zimechacha' Je, hili ndilo tunda 'baya' na ghali zaidi duniani? Rais wa Uturuki awa mpambe katika harusi ya Ozil Washirika hao wawili wa muungano wa kujihami kwa mataifa ...

NAFASI ZA KAZI 35 KUTOKA BRELA,MWISHO WA KUOMBA NI JUNI 18,2019

Image
NAFASI ZA KAZI 35 KUTOKA BRELA, MWISHO WA KUOMBA JUNI 18, 2019 REGISTRATION ASSISTANT II – 10 POST Employer: Business Registrations And Licensing Agency (BRELA) Date Published: 2019-06-04 Application Deadline: 2019-06-18 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: i.Allocate Registration number to the new application; ii.Reply to custom searches; iii.Embosses certified documents including certificates, mortgages and debentures; iv.Issue acceptance/rejection letters to applicants; v.Conduct initial name search to ensure there is no duplication; vi.Examine application file for completeness to ensure that all the necessary documents and processes are followed as per regulations; vii.Prepare certificates of grant of patents, industrial designs and utility models and seal them; viii.Process Patent Cooperation Treaty (PCT) applications from the World Industrial Property Organization (WIPO) and other international applications; ix.Process patents, industrial d...

Top 10 Most Richest Presidents In The World

Image

Al Madrasat Hilal Mikocheni A Ust Hafidh Adabu kwa wazazi

Image

MABINTI WA P DIDDY WATOKELEZEA NA MILIONI 114

Image
MABINTI WA P DIDDY WATOKELEZEA NA MIL.114 M ABINTI watatu wa mkongwe katika Muziki wa Hip Hop, P Diddy, D’Lila, Jessie na Chance wametokelezea na vitu vyenye thamani ya dola 50,000 (zaidi ya shilingi milioni 114 za Kibongo) kwa usiku mmoja. Mabinti hao walitokelezea katika uzinduzi wa filamu mpya ya The Secret Life Of Pets 2 ndani ya Ukumbi wa Regency Village Theatre uliopo Westwood, California. Katika mabinti hao, kuna pacha wawili, D’Lila na Jessie ambao walitinga vibegi vya mgongoni aina ya Hermes vilivyotengenezwa kwa kutumia ngozi ya chatu vyenye thamani ya dola 22,000 kila kimoja (zaidi ya shilingi milioni 100 kwa viwili) na dada yao, Chance alitinga na kipochi cha njano aina ya Christian Louboutin yenye thamani ya dola 5,000 (zaidi ya shilingi milioni 11). Pacha D’Lila na Jessie’s mom walizaliwa na marehemu, Kim Porter lakini Chance alizaliwa na Sarah. Kwa sasa wote watatu wanalelewa na Sarah. CALIFORNIA, MAREKANI