Posts

UHASAMA KATI YA IRANI NA SAUDIA NA UWEZO WA KIJESHI NANI ZAIDI

Image
Je uhasama kati ya Saudia na Iran unasababishwa na nini? Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Ema Haki miliki ya picha REUTERS/EPA Image caption Kiongozi wa dini nchini Iran Ayatollah Ali Khamenei (kushoto) na Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman Saudi Arabia na Iran wamekuwa wapinzani wakuu na hii ndio sababu. Kwa nini Saudia na Iran hawapatani? Saudi Arabia na Iran - majirani wawili wenye uwezo mkubwa wamekuwa wakizozana kila mmoja akitaka kuonekana mwenye uwezo katika eneo la mashariki ya kati. Uhasama huo wa muongo mmoja sasa kati ya mataifa hayo mawili unasababishwa na tofauti ya kidini. Mataifa hayo mawili yanafuata madhehebu mawili ya kidini ya Kiislamu. Iran ina Waislamu wengi wa madhehebu ya Kishia huku Saudia ikijiona kuwa ndio taifa la madhehebu ya Kisunni linaloongoza kwa uwezo. Wakenya washangazwa na vazi la Fiji Raia wa Kongo wajiandaa kuupokea mwil...

Mjue Bi Khadija binti Khuwailidi mke wa kwanza wa Mtume

Image
MFAHAMU:                                          K HADIJA BINT KHUWAILYD                              MKE WA KWANZA WA MTUME MUHAMMA D: Bibi Khadijah Bint Khuwaylid (R.A) alikuwa ni mwanamke bora kuliko wanawake wote wa wakati wake. Alikuwa ni binti ya Khuwaylid Bin Asad Bin Abd il-'Uzza Bin Qusayy Bin Kilab kutokamana na Quraysh. Kabla ya Uislamu, alikuwa akiitwa atTwaahira (msafi). Khadijah alikuwa ni mwanamke tajiri, hivyo basi, akamuajiri Mtume (S.A.W) kuisimamia biashara yake ya msafara kuelekea Sham. Baada ya kushuhudia uaminifu wake na usimamizi mzuri, Bibi Khadijah alijitolea nafsi yake ili aolewe na Mtume (S.A.W), Mtume akakubali kumuoa. Kabla ya kuolewa na Mtume (S.A.W), aliolewa na Abu Halah Bin Zurarah at-Tamimi, kisha akaolewa na 'Atiq Bin 'Abid Bin 'Abdillah Bin 'Umar Bin Makhzum. Mtu...

Qaswida Naupenda Muwa Mwagilloh

Qaswida Naupenda Muwa Mwagilloh

Fursa ya ajira kwa walimu wa kiswahili huko Afrika ya Kusini

Image
Serikali za Tanzania na Kenya zachangamkia fursa ya kupeleka walimu kufundisha Kiswahili Afrika Kusini Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Ema Haki miliki ya picha IKULU, TANZANIA Image caption Rais John Magufuli na Cyril Ramaphosa wameazimia kudumisha uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini Rais wa Tanzania John Magufuli na mwenzake wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wameafikiana kuhusu kufundisha lugha yaKiswahili, ikiwa ni siku chache toka mawaziri wa Kenya na Afrika Kusini kusaini makaubaliano kuhusu suala hilo. Rais Magufuli alikutana na Ramaphosa Ikulu ya Pretoria Jumapili, Mei 27 2019, ikiwa ni siku moja tu toka Ramaphosa alipoapishwa kuendelea kuliongoza taifa la Afrika Kusini. Katika mkutano huo faragha, Magufuli alimpatia zawadi ya vitabu vya Kiswahili mwenyeji wake pamoja na kamusi ya kiswahili. Afrika Kusini iliidhinisha lugha ya Kiswahili kufundishwa  katika shule z...