Idadi ya Watu Duniani yafikia 7.8 Bilioni huku wanawake wakiongezeka zaidi

Nini kinachofanya wanawake kuwa wengi zaidi kuliko wanaume?

1. VIFO: Wanaume huishi umri mchache kulingana na wanawake pia wao wengi wao ndio huenda vitani na askari wa kiume ndio wengi kuliko wanawake hivyo ikitokea nchi yoyote ikaingia vitani ni dhahiri wanaume ndio watapungua zaidi ikitokea vifo mfano mna askari wa kiume 1000 wakiwa wameacha wake zao nyumbani basi wakifa 500 jua tayari kuna wanawake 500 watakosa waume zao na kubaki wajane hivyo kama walikua hawataki waume zao kua na mwanamke mwingine basi na wao wajiandae kukataliwa na wanawake wenzao kuingia kwenye ndoa zao malipo ni hapa hapa.

2. Uzazi. katika takwimu za zazi huonyesha wanawake huzaliwa wengi kuliko wanaume.

3. Hikma ya Mungu kuwafanya wao kuwa wengi ni kwa sababu ya maumbile walioumbwa nayo wanaume.

Ripoti ya Umoja wa Mataifa kwa Mwaka #2019 ikionyesha Idadi ya watu duniani, #earth #earthday
Jumla ya watu wote ni 7.8 billions
Out of that;
Women = 5.6 billions
Men = 2.2 billions
For Men's
1.0 billion are married
130 millions are in Prison
70 millions are mentally ill
.
50% of all men's are jobless
5% are Catholic Priests
10% are your relatives, means you can't date with them
35% are above 66 years.
.
Wanawake wamepewa angalizo kuhusu aina ya wanaume wa kuwa nao kwenye mahusiano.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A)

Elimu kwa wanawake