Malimwengu

>Nilifika mjini kutafuta kazi ila sikufanikiwa kwa wakati mpaka nikaishiwa pesa yote niliyojipanga kutumia wakati natafuta sehemu ya kujishikiza.......
>>Hatimaye Dada mmoja alinipenda na nikaanza kuishi nae kwake alipopanga kama mpenzi, nasikitika alichonifanyia kwa kunifanyia njama kwa wahuni wakanipiga ni baada ya kunikuta na mchepuko mwingine chumbani kwake.

Comments

Popular posts from this blog

Namna ya Kuandaa Mchanganuo wa biashara

Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)

INSTITUTE OF SOCIAL WORK DAR ES SALAAM