ELIMU


MAAJABU YA TEMBO
1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.
2. Tembo ana uzito wa tani 7 na ndiye mnyama mwenye seli zenye umbo dogo mno.
3. Tembo jike hubeba mimba miezi 22 au miaka 2 na hutoa sauti ya kicheko kama binadamu
4. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 200 hadi 300 na maji lita 40 hadi 100.
6. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
7. Umri wake wa kuishi ni miaka 60 hadi 80
8. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
9. Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12; masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne na huishi kifamilia na wakitaka kujamiana hujitenga na kwenda mbali kwasababu ya kuona aibu(kuona haya).
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano
12. Tembo anategemea sana uwezo wake wa kunusa ili kuweza kutambua mazingira aliyopo na vitu vinavyomzunguka. Sambamba na harufu, tembo pia ana uwezo mkubwa wa kusikia kupitia masikio yake makubwa (by the way, tembo porini huitwa Masikio). Tembo huchimba ardhi kujua maji yapo umbali gani. Pia hunusa harufu ya eneo alipo kutambua majira.
13. Tembo hana uwezo mkubwa wa kutambua vitu kwa kuona. hutegemea zaidi pua na masikio kuweza kufanikisha shughuli zake. kutokana na hali hiyo, mara nyingi ukiwa porini unashauriwa kumpiga picha tembo BILA ya kutumia flash. hii inatoka na kwamba, endapo utatumia flash wakati unampiga picha, tembo atajenga hisia ya kutoelewa nini kimetokea. kwa kifupi hataweza kutofautisha kama ni kitu cha kawaida au ni hatari. katika mazingira haya, huanza ku-charge kuelekea upande ule ambao mwanga
14. Pia Tembo ana uwezo wa kumbukumbu kwa jambo lililomtokea zamani kama mwaka mmoja uliopita na wana kawaida ya kutembea kifamilia endapo mmojawapo atapotea wanamtafuta kwa kutoa aina fulani ya mlio kwa kutumia masikio sauti ambayo husikika umbali wa kilomita nane (maili tano ) kutoka aliposimama tembo alietoa hiyo sauti inasambaa kama duara na aliepotea nae hujibu kwa mtindo huo lakini sauti hii binaadam haisikii ila tembo anaisikia na kujua imetokea upande upi na wana kawaida ya kuwa na kiongozi wao katika kila kundi ndie anaeongoza msafala uelekee upande upi pia wana uwezo wa kusikia harufu ya maji hata kama yapo umbali wa kilomita tatu.
15. Tembo mmoja akifa wengine hukusanyika kwa msiba na huomboleza kwa siku kadhaa. Ikiwa ni binadamu kamuua tembo akikamatwa hukanyagwakanyagwa.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A)

Elimu kwa wanawake