NCHI KUMI KINARA WA USHIRIKINA DUNIANI



UMEISIKIA HII??
HII HAPA ORODHA YA NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MASUALA YA UCHAWI NA USHIRIKINA DUNIANI, TANZANIA NAYO IMETAJWA
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya 10 katika orodha ya nchi zinazoamini ktk masuala ya uchawi, ulozi, mapepo, imani za kishirikina na kila aina ya nguvu za giza duniani.
Mtandao wa The Richest umetaja nchi 10 duniani mashuhuri kwa mambo ya ushirikina, Tanzania ikishika nafasi ya 10 ktk orodha hiyo.
Bara la Afrika limetoa nchi 5, huku nafasi ya kwanza ikishikwa na Indonesia.
Mauaji ya albino ni moja ya mambo yaliyoipa Tanzania alama za juu katika orodha hiyo.
Orodha kamili ni kama ifuatavyo:
1. Indonesia
2. DRC
3. Ghana
4. Colombia
5. Uganda
6. Papua New Guinea
7. Nigeria
8. Nepal
9. Gambia
10. Tanzania
Picha hii inaonyesha binti akiaguliwa sehemu za siri na mganga ili bwana wake akishiriki nae tendo asitamani mwanamke mwingine.Sidhani kama mganga alimuacha salama.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A)

Elimu kwa wanawake