RAISI MSTAAFU WA KONGO AKWAMA KWENYE FOLENI KAMA RAIA WA KAWAIDA HUKU AKIENDESHA MWENYEWE GARI

Joseph Kabila bloqué dans un embouteillage sur l'avenue des Poids lourds à Kinshasa.
L'ancien président congolais Joseph Kabila a été bloqué dans un embouteillage sur l’avenue des poids lourds ce mercredi 19 juin 2019. Il est presque 14h00 heure de Kinshasa lorsque le cortège du désormais sénateur à vie Joseph Kabila est bloqué dans un embouteillage monstre au niveau du croisement Poids lourds et avenue de la Funa dans la commune de Limete.
Il était seul au volant de sa ...
Tazama Zaidi  #DRC Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila,alikwama katika foleni ya barabarani sur l'avenue des poids Mjini Kinshasa.ilikua siku ya jumatano hii tarehe 19/062019 kabila akiwa katika gari lake akiendesha mwenyewe na mlinzi wake na nyuma kukiwa na gari nyingine Range lover ikimsindikiza na mlinzi mmoja alisimama kwenye foleni kama raia wengine.Watu walijaa kumshangilia huku wengine wakisikia wakimpongezaa na kusema kuna maisha baada ya uchaguzi na Rais huyo mstaafu wa kwanza wa Taifa hilo wakisema ameonyesha mfano wa kuigwa.Tumeshangaa sana kuona rais mstaafu akiendesha gari mwenyewe tena bila msafara angeomba msaada wa barabarani kumtengenezea njia lakin yeye ameonyesha uzalendo walisikika watu wakisema

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A)

Elimu kwa wanawake