Pastor Awatukana Maaskofu ,atishia kufunga Kanisa

PASTOR ATUKANA MAASKOFU, ATISHIA KUFUNGA KANISA
Mchungaji awatukana Maaskofu, ‘Wajinga sana nyie’
Mchungaji maarufu nchini Kenya, James Maina Ng’ang’a wa Kanisa la Neno Evangelist Ministry ametishia kufunga matawi ya kanisa lake la Neno Evangelism kwa madai kuwa Maaskofu hawamheshimu mke wake.
Katika kanda ya video iliyosambaa katika vyombo vya habari, ameonekana akiwakaripia maaskofu kwamba atawafukuza wote iwapo hawataheshimu onyo lake akidai kuwa matawi hayo yamekuwa vibanda na sio makanisa.
”Wakati huu nitawaonyesha uwezo wangu, mwanamke yeyote ambaye hatamuheshimu mke wangu, mlinikuta hapa na wake zenu, mmejitajirisha kupitia juhudi zangu, Wajinga nyie, Wajeuri, Takataka nilikuwa nikihubiri katika mikokoteni mpaka hapa nilipofikia, naapa mbele ya Mungu nitawaonyesha Ng’ang’a ni nani,”amesema Ng’ang’a
Aidha, amewaonya kwamba kama hawatamheshimu yeye na mke wake atawafukuza katika kanisa lake bila kujari vyeo walivyo navyo hivyo wanatakiwa kuwa makini muda wote hasa kumheshimu mke wake.
Amesema kuwa kwasasa amefikia umri wa kuheshimiwa na maaskofu hao wa kanisa lake na kila anapo kohoa ni lazima watii kwasababu anakabiliwa na changamoto ya shetani anataka kuliangusha kanisa lake.
Ng’ang’a amewaita maaskofu wake kuwa watu wasio na maana, wajinga na wasiomuheshimu kama mtu aliyewasaidia mpaka kupata utajiri walioupata mpaka sasa.
Tayari Pasta Robert Wafula ameisha timuliwa kwenye Kanisa hilo na amerudisha vibali na nyaraka za kanisa hilo.
EVANGELIST ROBERT WAFULA OF NENO EVANGELISM BOWS OUT
Mombasa's NENO evangelist Pst.Robert Wafula could have pulled a fast by handing over church documents to his boss Commander 'god' Pst James Maina Ng'ang'a as he called it quits at the giant Mombasa Branch.It must have come as a blow to Apostle Ng’ang’a as one of his long serving Bishops Hands over crucial documents and Says no to service.
Bishop Robert Wafula of Neno Evangelism Mombasa last Sunday Handed over crucial documents of the Church to the church elders citing frustrations from “god” Apostle James Nganga.He has been at loggerheads with the Chief General Commander as he calls himself for over years now.
This move by Bishop Wafula made his followers cry and have threatened to leave the church and follow him as he chats a new path.Is it a guilt-victim fallout or frustration as depicted?
TOA MAONI YAKO KISHA #SHARE

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUOA MKE ALIEKUZIDI UMRI

HISTORIA YA KHALIFA WA PILI SAYYIDNA OMAR (R.A)

Elimu kwa wanawake