Posts

HUYU NI MWAFRIKA ALIYEWAHI KUWA TAJIRI ZAIDI DNIANI.

Image
Je Mfalme Mansa Musa kutoka Mali ndiye aliyekuwa tajiri zaidi duniani? Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Mansa Musa alisafiri kutoka mecca na msafara wa watu 60,000 na watumwa 12,000 Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ndiye mtu tajiri zaidi duniani , kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliotolewa wiki hii. Akiwa na mali yenye thamani ya $131bn (£99bn) ndiye mtu tajiri zaidi duniani. Lakini yeye sio mtu tajiri kuwahi kuishi duniani. Taji hilo linadaiwa kumilikiwa na Mansa Musa , mfalme wa karne 14 kutoka Afrika Magharibi ambaye utajiri wake ungeathiri uchumi wa taifa zima. Akaunti zake zilikuwa na utajiri mkubwa kitu ambacho ilikuwa vigumu kuweza kubaini thamani ya utajiri na uwezo wake ,kulingana na Rudolph Butch profesa wa Historia katika chuo kikuu cha california . Mansa Musa alikuwa tajiri zaidi ...

KIJIJI KINACHOONEKANA KWA MWAKA MWEZI MMOJA KISHA MIEZI 11 HUZAMA

Image
India: Kijiji kilichozama kinachoonekana mwezi mmoja kwa mwaka Sambaza habari hii Faceboo   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha GURUCHARAN KURDIKAR Image caption Bwawa la kwanza la jimbo hilo lilizamisha kijiji cha Curdi Kijiji cha kimoja magharibi mwa India kinaonekana kwa mwezi mmoja - miezi 11 iliyosalia, kijiji hicho huzama chini ya maji. Maji yanapokauka, wakaazi wake waliyohamishwa katika sehemu nyingine, huja pamoja kusherehekea ujio wa kijiji chao, Supriya Vohra anaripoti. Kijiji cha Curdi kinapatikana katikati ya milima miwili ya magharibi ya Ghats na mto Salaulim river - moja ya mito mikubwa katika jimbo la Goa. Kijiji hicho wakati mmoja kilikuwa kimeendelea sana na kilikuwa maarufu sana katika jimbo hilo. Mwaka 1986, Bwawa la kwanza lilijengwa katika la jimbo hilo na matokeo yake ilikuwa kuzama kwa kijiji hicho. Lakini kila mwaka mwezi Mei, maji yakipun...

MAREKANI YAIPA URUSI ONYO

Image
Marekani yaipatia Uturuki onyo la mwisho la ununuzi wa silaha za UrusiSaa 3 zilizopita Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Email   Haki miliki ya picha PA Image caption Uturuki imepewa ilani ya kuchagua kati ya kununua ndege za kivita za Marekani au makombora ya Urusi Uturuki imepewa makataa ya hadi mwisho wa mwezi Julai kuchagua kati ya kununua ndege za kivita za Marekani na makombora ya Urusi. Kaimu waziri wa ulinzi wa Marekani Patrick Shanahan ametoa makataa hayo katika waraka aliyomwandikia mwenzake wa Uturuki, Hulusi Akar. Amesema Uturuki, haiwezi kumiliki ndege ya kisasa ya kivita chapa F-35 kutoka Marekani na makombora S-400 kutoka Urusi. Mgogoro wa Sudan: Kamata kamata dhidi ya upinzani 'zimechacha' Je, hili ndilo tunda 'baya' na ghali zaidi duniani? Rais wa Uturuki awa mpambe katika harusi ya Ozil Washirika hao wawili wa muungano wa kujihami kwa mataifa ...